Simu yangu inafuta majina baadhi

Simu yangu inafuta majina baadhi

Pelly

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
197
Reaction score
207
Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita.
Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please
Asanteni
 
Hiyo aimu ulisajili google play k
Qa email address yako?
Sijakuelewa ila kila nikisave majina na save KWENYE Google account yangu majina na no, sasa nashangaa kila nikisave leo kesho linafutika
 
Umelogin na google account kwenye kifaa zaidi ya kimoja na pengine kifaa kingine ana access nacho mtu mwingine, kama ni hivyo basi, yeye ndio anafuta...fuatilia, otherwise ni special case
 
Aisee watalamuu simu yangu pia A13 nikiichaji inaonyesha pembetatu ya njano. Wataalam msaada.
 
Hiyo account ya google ni yako au mtu amekufungulia? Je hiyo account ipo kwenye device zaidi ya moja? Na kama ni hivyo device nyingine inayotumia hiyo account ipo au anayo nani?
 
Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita.
Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please
Asanteni
la msingi angalia devices Ambazo Google Account yako umezilink na akaunti mama,pia kuwa na telegram huwa inasaidia kusave majina kwa Watu ambayo wapo huko ...Ila scenario ambayo hata mm napita yaani simu yangu nikihamisha hamisha line mara kadhaa kuna baadhi ya Namba zinapotea na nsipowasiliana na Mtu MDA mrefu Namba kama inastack yaani inakuwepo ila WhatsApp status unaweza usione ya huyo Mtu je na ww hili tatizo unalo
 
Yaani no za zamani zipo ila nilizosave karibuni hazikai kabisa japo nimesave. Google account, nafikiria hii simu ilikuwa ya rafiki yangu sasa naonaga Google account yake sema password sina inabidi niifute hapo ndiyo nachemka inawezakuwa ni sababu
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom