Simu yangu inajazwa na meseji za kushawishiwa kubeti

Simu yangu inajazwa na meseji za kushawishiwa kubeti

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti.

Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani?

Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia usumbufu...

Screenshot_2022-01-22-12-29-33-495_com.android.mms.jpg
Screenshot_2022-01-22-12-29-33-495_com.android.mms.jpg
IMG_20220122_123427.jpg
 
Mitandao yenyewe ya simu nafikiri, kuna namna ya kufanya zisiingie ukiwapigia watakuelekeza ila bora uvumilie tu maana kuna msg nyingne za maana km ofa fulani n.k hutozipata, la kufanya wewe ikiingia delete.
 
Ifike wakati watuelewe ... imekuwa kero sasa
Kuna haja ya kuwawajibisha
 
Ndio tatizo la kuwa na simu zenye mb 21
 
Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti.

Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani?

Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia usumbufu...

View attachment 2091429View attachment 2091429View attachment 2091437
Mimi nasumbuliwa na sms za tahadhari ya utapeli! Kumbuka tulisajilishwa simu eti wana mpango wa kukomesha utapeli kumbe lengo lao lilikuwa la kisiasa. Kila siku ninapata meseji za matapeli na za jihadhali na matapeli!
 
Back
Top Bottom