Ameongea hoja ya msingi wewe unaleta upimbi..Ndio tatizo la kuwa na simu zenye mb 21
Jamaa ni bonge la Pimbi yaaniAmeongea hoja ya msingi wewe unaleta upimbi..
Tatizo si dogo kama ufkiriavyo wakati mwingine tumeacha kusoma sms za muhimu kwa kudhania kwamba ni hizo promotions zaoNdio tatizo la kuwa na simu zenye mb 21
Mimi nasumbuliwa na sms za tahadhari ya utapeli! Kumbuka tulisajilishwa simu eti wana mpango wa kukomesha utapeli kumbe lengo lao lilikuwa la kisiasa. Kila siku ninapata meseji za matapeli na za jihadhali na matapeli!Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti.
Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani?
Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia usumbufu...
View attachment 2091429View attachment 2091429View attachment 2091437