Simu yangu note2 iliisha chaji nakutochaji kwa siku nzima cha ajabu kuja. Kuchaji haingizi chaji nikitoa betri na kuchaji kwa mchajio wa Kobe ola nikaazima betri yenye chaji nikiweka bado haiwaki hainyoshi chocjote nini tatizo msaada jamani
Sent using
Jamii Forums mobile app