Simu yangu note2 iliisha chaji nakutochaji kwa siku nzima

abdallah1503

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
12
Reaction score
3
Simu yangu note2 iliisha chaji nakutochaji kwa siku nzima cha ajabu kuja. Kuchaji haingizi chaji nikitoa betri na kuchaji kwa mchajio wa Kobe ola nikaazima betri yenye chaji nikiweka bado haiwaki hainyoshi chocjote nini tatizo msaada jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua system ya overplug ya cm ime ungua pia Aic ya simu itakua ime zidiwa tumia. chaj original kutoka samsung asanateh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom