Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Intelligent Wifi , One UI 5 android 13 [emoji23]tafuta hela mkuu Samsung washatoka hukoSalaam JF Tech,
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi.
Simu zingine zinakubali.
Tatizo nini? Msaada.
Kupiga file jipya naanzaje mkuu?Fanya system Restoration... Ikigoma piga file jipya...
Wait... Before hayo jaribu ku forget hizo network zinazoonekan ktk WiFi list.
Hili tatz hutokea pale ukiwa umeconnect hiy sim na WI-FI hapo mwanzo then ile source ya network yaan ile device inayokupa connection inakuw imebadirishiw password. So device yako inakuw inashindw kufany bridging au kitaalam tunaita Handshake between your device na hiyo source. So data packets zinashindw kuwa transferred na gateways zote zina sizi.... So fanya hiyo remedy ya ku forget networks ikigoma fata hizo advanced remedies..
Note: fanya backup first
Ila mwanzo ilikuwa fresh tu mkuu.refubrished ?
Hii ni android 10 mkuuIntelligent Wifi , One UI 5 android 13 [emoji23]tafuta hela mkuu Samsung washatoka huko
Ipeleke kwa fundi atakusaidia.. Unaweza piga file ukidhan ishu ni software kumbe ishu ipo ktk Hardware upande wa IC za Network.. So ishu hapo nenda kwa fundi anayejielewa ajiridhishe then afanye remedy kulingana na chanzo cha tatzo. Nikikuelekez kupiga file utakosea uue sim bureKupiga file jipya naanzaje mkuu?
halafu hata list ya hzo Wi-Fi network hazionekani.
halafu kuhusu restoration nimeshaifanyia ila bado.
Shukurani mkuu.Ipeleke kwa fundi atakusaidia.. Unaweza piga file ukidhan ishu ni software kumbe ishu ipo ktk Hardware upande wa IC za Network.. So ishu hapo nenda kwa fundi anayejielewa ajiridhishe then afanye remedy kulingana na chanzo cha tatzo. Nikikuelekez kupiga file utakosea uue sim bure