6pro kwa bei ya millioni 2 hawezi.Google pixel 6a inauzwa new full box 450,000
Lakini nakushauri kama mfuko wako uko vizuri chukua 6pro ila hakikisha haiwi used chukua mpya kabisa
6pro kwa bei ya millioni 2 hawezi.
Milioni 2, hapana. Kama hivyo ndivyo, sasa Pixel 9pro itauzwaje?? 🤔6pro kwa bei ya millioni 2 hawezi.
6pro mpya bei haifiki 700K6pro kwa bei ya millioni 2 hawezi.
Huawei nova 11 zote , moto g54Wakuu naomba mnipe mwongozo wa simu ambayo angalau inaweza nisaidia kupiga picha nzuri za kupost mtandaoni bidhaa za duka walau nikapata quality inayokubalika kwa bajeti hiyo, asante!
Hakuna pixel6 mpya dunia hii kwa sasaGoogle pixel 6a inauzwa new full box 450,000 hii iko vizuri kwenye picha
Lakini nakushauri kama mfuko wako uko vizuri chukua 6pro nadhani itauzwa around 550k ila hakikisha haiwi used chukua mpya kabisa
Nimeuliza, used ndio zinauzwa bei hizoGoogle pixel 6a inauzwa new full box 450,000 hii iko vizuri kwenye picha
Lakini nakushauri kama mfuko wako uko vizuri chukua 6pro nadhani itauzwa around 550k ila hakikisha haiwi used chukua mpya kabisa
Hakuna pixel6 mpya dunia hii kwa sasa