COMRADE 07 JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 337 Reaction score 150 Mar 15, 2014 #1 wadau ninahitaji simu yenye uwezo wa kupata Whatsapp kwa gharama ya shilingi ELFU 65 TU...NISAIDIENI
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Mar 15, 2014 #2 COMRADE 07 said: wadau ninahitaji simu yenye uwezo wa kupata Whatsapp kwa gharama ya shilingi ELFU 65 TU...NISAIDIENI Click to expand... Hii ni changamoto kupata simu nzuli kwa hiyo bei. Jaribu kupita madukani kariakoo kuna ITEL , TECNO zipo ambazo zinakubali.
COMRADE 07 said: wadau ninahitaji simu yenye uwezo wa kupata Whatsapp kwa gharama ya shilingi ELFU 65 TU...NISAIDIENI Click to expand... Hii ni changamoto kupata simu nzuli kwa hiyo bei. Jaribu kupita madukani kariakoo kuna ITEL , TECNO zipo ambazo zinakubali.