Simu yenye uwezo wa whatsapp

Simu yenye uwezo wa whatsapp

COMRADE 07

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
337
Reaction score
150
wadau ninahitaji simu yenye uwezo wa kupata Whatsapp kwa gharama ya shilingi ELFU 65 TU...NISAIDIENI
 
wadau ninahitaji simu yenye uwezo wa kupata Whatsapp kwa gharama ya shilingi ELFU 65 TU...NISAIDIENI
  • Hii ni changamoto kupata simu nzuli kwa hiyo bei.
  • Jaribu kupita madukani kariakoo kuna ITEL , TECNO zipo ambazo zinakubali.
 
Back
Top Bottom