Abubakari Mussa
Senior Member
- Mar 26, 2020
- 129
- 188
Ungetaja changamoto zake pia. Niliwahi kumiliki moja zina limitations. Software update hadi eti uweke sim card ya docomo. Halafu as far as I kmow Docomo ni cellular network so brand yoyote inaweza kuwa docomo, kama.ilivyo simu za AT&T nazo huwa zina kipengele. Kuna mtu aliwahi niuzia iphone kitambo ya AT&T nilipoireset kumbe ina lock ikarudi aiseeDocomo au Soft Bank ni sumu original za kijap ni ngumu sana hata ikidondoka kioo hakipasuki kizembe hizi simu nazikubali sana.
Sijakuelewa swali lakoDocomo ndo zikoje mkuu
Heading inasema simu za docomo.Sijakuelewa swali lako
Unaweza libadilisha kidogo tusaidiane?
Sawa mkuuuHeading inasema simu za docomo.
Swali...docomo ndo simu zikoje? Au ni toleo jipya huko mjini daslama
Sio kweli mimi natumia docomo kitamba sana ukitaka ushahidi nitakupa natumia line zote za kibongo ni simu moja ngumu sana sio kama hiyo misifeki ya kichina.Ungetaja changamoto zake pia. Niliwahi kumiliki moja zina limitations. Software update hadi eti uweke sim card ya docomo. Halafu as far as I kmow Docomo ni cellular network so brand yoyote inaweza kuwa docomo, kama.ilivyo simu za AT&T nazo huwa zina kipengele. Kuna mtu aliwahi niuzia iphone kitambo ya AT&T nilipoireset kumbe ina lock ikarudi aisee
Sijasema kuwa hazitumii line za bongo, ila zina limitation kwa sababu Android zinayokuja nayo inakuwa ina limitations nyingi sawa na zile android za simu za AT and T. Any way may be siko sawa lakini Mimi nimetumia sony xperia Z na xperia 10ii za docomo zote zilikuwa zinafanya kazi ila ukitaka kupdate inakwambia ku update mpaka uweke chip ya docomoSio kweli mimi natumia docomo kitamba sana ukitaka ushahidi nitakupa natumia line zote za kibongo ni simu moja ngumu sana sio kama hiyo misifeki ya kichina.