Phone4Sale Simu za Docomo

Phone4Sale Simu za Docomo

Abubakari Mussa

Senior Member
Joined
Mar 26, 2020
Posts
129
Reaction score
188
ARROWS F-04K
💰235,000/=

Sideway fingerprint 👎

32GB ROM
3GB RAM

CAMERA 🔥

Tupo kariakoo aggrey na ndana

Tupigie 0692690033
Karibu
Maongezi yapo

4970275b-abdd-480a-9ff8-be5d3e63943b.jpeg
 
Docomo au Soft Bank ni sumu original za kijap ni ngumu sana hata ikidondoka kioo hakipasuki kizembe hizi simu nazikubali sana.
 
Docomo au Soft Bank ni sumu original za kijap ni ngumu sana hata ikidondoka kioo hakipasuki kizembe hizi simu nazikubali sana.
Ungetaja changamoto zake pia. Niliwahi kumiliki moja zina limitations. Software update hadi eti uweke sim card ya docomo. Halafu as far as I kmow Docomo ni cellular network so brand yoyote inaweza kuwa docomo, kama.ilivyo simu za AT&T nazo huwa zina kipengele. Kuna mtu aliwahi niuzia iphone kitambo ya AT&T nilipoireset kumbe ina lock ikarudi aisee
 
Heading inasema simu za docomo.
Swali...docomo ndo simu zikoje? Au ni toleo jipya huko mjini daslama
Sawa mkuuu
Ni simu kama tunavyoosema samsung
Ni kampuni ya simu
Maarufu kama simu za mjapan
Roho ya paka simu ni ngumu
Nzuri sana kwa shughuli za apa na pale
Zinakuja na space tofauti tofauti kama 32,64
4G network
Apo juu kwenye hii post kuna mwamba ame specify vizuri unaweza kupitia ukasoma
 
Ungetaja changamoto zake pia. Niliwahi kumiliki moja zina limitations. Software update hadi eti uweke sim card ya docomo. Halafu as far as I kmow Docomo ni cellular network so brand yoyote inaweza kuwa docomo, kama.ilivyo simu za AT&T nazo huwa zina kipengele. Kuna mtu aliwahi niuzia iphone kitambo ya AT&T nilipoireset kumbe ina lock ikarudi aisee
Sio kweli mimi natumia docomo kitamba sana ukitaka ushahidi nitakupa natumia line zote za kibongo ni simu moja ngumu sana sio kama hiyo misifeki ya kichina.
 
Sio kweli mimi natumia docomo kitamba sana ukitaka ushahidi nitakupa natumia line zote za kibongo ni simu moja ngumu sana sio kama hiyo misifeki ya kichina.
Sijasema kuwa hazitumii line za bongo, ila zina limitation kwa sababu Android zinayokuja nayo inakuwa ina limitations nyingi sawa na zile android za simu za AT and T. Any way may be siko sawa lakini Mimi nimetumia sony xperia Z na xperia 10ii za docomo zote zilikuwa zinafanya kazi ila ukitaka kupdate inakwambia ku update mpaka uweke chip ya docomo
 
Back
Top Bottom