profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
MotoPasi
Hiyo ni Og sio copySio zote, nina mzigo tokea 2022 September.
Simu inauzwa laki 7 kioo chake cha spea ikivujia wino unaambiwa 570k . Si bora ununue mpya? Hakuna simu muleAlamanusra nikanunue hiyo simu nimeaihirisha
Natumia Pixel tangu 2021 mpaka sasa 2024 haujawahi kuzima wala motherboard kufanya nini umewahi kuingia kwenye maji mara 3 haujafa chochote ishanyeshewa na mvua na haujawahi kuchemka battery unakaa na chaji vizuri tu, shida ya Pixel ni moja tu ukipiga picha ukazoom to 100% inakua na ukungu ukungu kitu ambacho sikupendi Ila vingine vyote IPO sawaWadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.
Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka...
Wadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.
Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka...
Hapo umesema ukweli mkuuNa pixel 3a hapa toka July 2021 ipo poa tu nilinunua huko huko kariakoo kipind hazijazagaa
Hii miaka miwili iliyopita viduka uchwara vya simu vimekua ving sana hapa mjin nakushauri ukitaka simu jichanhe ununue mpya...
Simu used zilikua reliable before 2022
Ndio hizo 'refurbished' zinaitwa yaan takataka imesafishwa safishwa ikaonekana mpyaHao walionunua hizo simu sio kwamba walinunua zile "used from Dubai"?
washamba kivipi mkuu?huyo wa pixel 7 ni electrica eng & computer programer,huyo wa pixel 4,ni environment engineer,ebu nieleweshe,washamba kivipi yani...Pixel hazihitaji washamba washamba sio calculator hizi kwamba uzitumikishe unavyotaka lasivyo unakimbia brand mapema sana