Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Kama ni hivyo haifaiPixel hazihitaji washamba washamba sio calculator hizi kwamba uzitumikishe unavyotaka lasivyo unakimbia brand mapema sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo haifaiPixel hazihitaji washamba washamba sio calculator hizi kwamba uzitumikishe unavyotaka lasivyo unakimbia brand mapema sana
Wameenda China Plaza pale wanauza refurbished products au yeye alikwambia kanunua kwenye maganda yake?washamba kivipi mkuu?huyo wa pixel 7 ni electrica eng & computer programer,huyo wa pixel 4,ni environment engineer,ebu nieleweshe,washamba kivipi yani...
Samsung kilinikimbiza kioo, Ile Simu bei ya kioo chake nanunua Simu zingine 2 na chenji inabakiKunitoa kwenye Sumsung labda lije Excavator la jeshi ntakua nahama tu na S Series hizi ila sio kuhamia brand za mjini hizo...
Alamanusra nikanunue hiyo simu nimeaihirisha
Hamia SamsungKama ni hivyo haifai
Natumia Redmi 13 proHamia Samsung
Wanaziokota wapi? Sisi mboni tunazitumia zinadunda Safi kabisa hazina hata huo ugonjwa wa kuzima?Cancel kabisa kuna dogo ofisin imezima haina ata miez mitatu
Ushawishi kwanza kutumiaa Pixel?washamba kivipi mkuu?huyo wa pixel 7 ni electrica eng & computer programer,huyo wa pixel 4,ni environment engineer,ebu nieleweshe,washamba kivipi yani...
mkuu kwa nijuavyo mimi,hata wao huwezi pata pixel brand new hapa tz,labda uagize nje,kwa hiyo waliponunua walijua kabisa,sio boxed,lakini ndio ikae miezi 4tu?isumbue?hata kama ni re furbished mkuu.Wameenda China Plaza pale wanauza refurbished products au yeye alikwambia kanunua kwenye maganda yake?
Amauziwa simu mbovuWadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.
Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka.
Juzi rafiki yangu,google pixel 7, haina hata miezi 5 tangu anunue 700,000/ kkoo,imezima ghafla, leo amepeleka aliponunua, eti motherboard imekufa, kulikuwa na ambayo imekufa kioo, kwa hiyo wamebadilisha motherboard ndo imewaka hizi simu zina shida gani wataalam.
Tecno pop 2 Simu yangu ya kwanza kununua dukani 😂 hii simu kali sana kasoro camera tuu ila betri ni fireeeeeeeeeItilafu hutokea kwenye devices zote sema umezifuatila za upande mmoja, Anyways waungwana watakuambia kwamba hizo simu ukitoa ubora wa camera unabaki na Pop 2 new model.
Miezi 4 imedumu sana mbonamkuu kwa nijuavyo mimi,hata wao huwezi pata pixel brand new hapa tz,labda uagize nje,kwa hiyo waliponunua walijua kabisa,sio boxed,lakini ndio ikae miezi 4tu?isumbue?hata kama ni re furbished mkuu.
kwa hiyo kiongozi,ulitoka tumboni umeshakuwa mzoefu wa kutumia simu za google pixel?Ushawishi kwanza kutumiaa Pixel?