Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Pixel ni simu nzuri sana sema hapo china plaza masimu yao yote ni famba,nilikua kwenye pixel 7a juzi kati nikajilipua kwenye mnyama mwenyewe ni full burudani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu original ambazo hazijatumika Bongo hii za uhakika sanasana ni tecno na infinix hizo nyingine nyingi ni refurb ndio maana zinaleta mashida kibaoWadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.
Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka.
Juzi rafiki yangu,google pixel 7, haina hata miezi 5 tangu anunue 700,000/ kkoo,imezima ghafla, leo amepeleka aliponunua, eti motherboard imekufa, kulikuwa na ambayo imekufa kioo, kwa hiyo wamebadilisha motherboard ndo imewaka hizi simu zina shida gani wataalam.
Nokia hapo 🤜Simu ni Nokia Samsung ama apple
Laki 350000-400000Hii ni mpya eh imetoka mwaka huu..bei gani dukani, na iko poa ?!
Itakua ni matoleo ya mwanzo mana pale ofisin kuna dogo alikua nayo na mpk leo anayo mwenzie kanunua ndan ya miez mitatu limekua kopoWanaziokota wapi? Sisi mboni tunazitumia zinadunda Safi kabisa hazina hata huo ugonjwa wa kuzima?
Uko sahihi kbsaSimu original ambazo hazijatumika Bongo hii za uhakika sanasana ni tecno na infinix hizo nyingine nyingi ni refurb ndio maana zinaleta mashida kibao
Shida sio simu tatizo ni TBS,Tanzania sasa hivi ni dampo la vifaa vya electronics fake na vyakula visicyo ba ubora.
Na mbaya zaidi zaidi ya 99% ya watanzania hatuna ujuzi na mambo ya electronics ndio kabisa.
Nchi ya hovyo sana hii,hamna control kabisa-wafanyabishara wanafanya wanacho taka ili mradi wanapata faida.
Zaman huko kabla hazijazagaa na sio sasa kila kona kila page wanauza simu..Mimi ninayo 4xl 128,tangu 2020
Na pia simu brand kubwa kama i phone na samsung ikishapita miaka miwili toka itoke basi ujue huwez pata mpya hapa bongo utashikishwa refub au used..Simu original ambazo hazijatumika Bongo hii za uhakika sanasana ni tecno na infinix hizo nyingine nyingi ni refurb ndio maana zinaleta mashida kibao
Kwani Kuwa Engeneer kunazuia kuwa mshmba!!washamba kivipi mkuu?huyo wa pixel 7 ni electrica eng & computer programer,huyo wa pixel 4,ni environment engineer,ebu nieleweshe,washamba kivipi yani...
Almanusra kesho nilkuwa niende hapo china plaza nikanunueWadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.
Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka.
Juzi rafiki yangu,google pixel 7, haina hata miezi 5 tangu anunue 700,000/ kkoo,imezima ghafla, leo amepeleka aliponunua, eti motherboard imekufa, kulikuwa na ambayo imekufa kioo, kwa hiyo wamebadilisha motherboard ndo imewaka hizi simu zina shida gani wataalam.
Kwa mafano mpya hapa bongo pixel napata wapi?Hizo simu za mafungu dubai zina shida kibao, nunua mpya uone kama utapata hayo majanga
Vipi network Mkuu?Natumia Pixel tangu 2021 mpaka sasa 2024 haujawahi kuzima wala motherboard kufanya nini umewahi kuingia kwenye maji mara 3 haujafa chochote ishanyeshewa na mvua na haujawahi kuchemka battery unakaa na chaji vizuri tu, shida ya Pixel ni moja tu ukipiga picha ukazoom to 100% inakua na ukungu ukungu kitu ambacho sikupendi Ila vingine vyote IPO sawa
Simu hii ya Pixel nnayotumia haijavunjika kioo na imeangukia Sura zaidi ya mara 3 na sijawahi kuweka screen protector naitumia km ilivyo na ishatumbukia kwenye maji zaidi ya mara 3 Ila Ile Samsung iliangukia sura mara 1 tu kioo kika-bust alafu kuna siku nikakosea nikailalia ndio ikawa kwisha habari yake ikaanza kuchemka nikiichaji yaan km nimeinjika sufuria kwenye jiko la gesi kwenda kuulizia kioo nikaambiwa nikadata ikabidi niiuze tu km spear kwa wale mafundi kuanzia pale sitaki tena