Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Wachina wanajidai kila mtu duniani anajua lugha yao...kuna siku nilisoma uzi mmoja hapa unazisifia Xiomi na mimi nikaona niagize ya kwangu yani mwanzo ulikuwa mgumu sana kila mahali ni kichina tupu hadi nikataka kuitelekeza nikahisi nimeingizwa mkenge. Hata hizi Huawei Japo sijawahi kutumia ila bila shaka nazo zitakuwa na ujinga kama wa Xiomi wa kujaza kichina kwenye simu.
 
PRICE IN INDIA₹ 71,990

PERFORMANCE Octa core

DISPLAY6.47" (16.43 cm)

STORAGE256 GB

CAMERA40MP + 20MP + 8MP

BATTERY4200 mAh

RAM8 GB

LAUNCH DATE IN INDIAApril 15, 2019 (Official)

Niambie iphone gani anagusa moto huuView attachment 1075557
Hayo makitu si yalivumbuliwa kule kwa Nzungu!!

Unamtambia babu yako eti umemtia mimba mkeo! Hujui wewe ni moja ya viungo vyake!! Hahahahahahahahahajajjajajjahajjjjjjhhhjhhjjhhhhhjjjjjhjjjj
 
Hayo makitu si yalivumbuliwa kule kwa Nzungu!!

Unamtambia babu yako eti umemtia mimba mkeo! Hujui wewe ni moja ya viungo vyake!! Hahahahahahahahahajajjajajjahajjjjjjhhhjhhjjhhhhhjjjjjhjjjj
Bob nijibu kwa hoja sio michambo

Iphone x ambayo ambayo imeonekana kua bora labda itamzidi huawei psmart kwenye internal storage tu lakini kuanzia ram wako sawa ukija kwenye camera iphone amepigwa gape

Hiyo ni psmart bado sijalinganisha na p20 ambao ndio waliomtoa iphone wakabadili wao, ukiachana na p20 kuna kubwa kuliko anaitwa p30 pro hii sasa hatuwezi kuifananisha na simu yoyote hapa sio iphone tu hata samsung
 
Ni ila kama wewe ni MTU Wa kawaida sio lazima kuwa na iPhone..ila kama una mambo ya muhimu ni sawa
Lakini pamoja na ulinzi wote lakini watu wana bypass icloud vizuri tu, yaani iphone imekua haina utofauti na tecno kwenye maswala ya FRP
 
Mkuu sijakuchamba!
Na km umenitafsiri hivyo naomba unisamehe bure.

Strategy za wazungu ni zaidi ya umafios.

Anyway tujiandae kuingia kwenye mfumo wa magari ya kukodi!!!!

Sikupingi kwenye Huawei!
 
Jamaa hajakosea kabisa Huewai wanakuja kwa Kasi mpaka marekani wanaanza kutetemeka. Ikija kwenye technology ya 5G na Cloud wapo mbele kabisa ndo maana sishangai simu zao zimeanza kushika kasi ulaya hapa tunaongelea CE - Certified for European Markets sio zile za huko mavumbini.
 
Huyu pimbi hajui chochote kuhusiana na sammy and iphy phones!hata tekno zinauza balaa vitz zinauza balaa !balimi na serengeti light inauza balaa!
Aisee umeishia darasa la ngapi? Duuu hadi unatia huruma kama hujui kitu bora utulie ili upate kuelewa...

Huawei P20 pro ya mwaka jana 2018 ndio ilikuwa simu yenye CAMERA bora kushinda iphone na Samsung pia kampuni ya Huawei ilipata faida na shares nyingi kuliko kampuni yeyote ya simu na mwaka huu wametoa toleo jipya la Huawei P30 pro inayoshika namba 1 kimauzo hadi sasa
 
So kwkoo simu ni camera bora tu eh?watu wa selfie kazi mnayo
 
Huawei Porsche design Mate 10 ina 512 GB ndio ghali zaidi kwa sasa $2600
Huawei wako vizuri sana mpaka simu za mezani zimejaa kila kampuni ukienda
Yaani ukiniwekea Huawei na Samsung nichagua kwa kweli Huawei ni simu bora kwangu ina camera nzuri mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…