Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Sijasoma mkuu!ilq huna nafasi ya kunihurumia kwa kuwa nawalipa mishahara wasomi kama wewe nyqmbaf!
 
Hahaha mkaldayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshindwa kabisa kuifeel simu aina ya Huaweiii... NIMESHINDWA

Ha ha ukitumia zile y300 huwezi kuelewa huawei tafuta P series au mate tanga enzi za P6 huawei anampiga gape sana samsung na iphone za kipindi icho na kwa sasa labda washindane na P20, ila hii P30 pro ni level nyingine hata bei yake haishiki
 
So kwkoo simu ni camera bora tu eh?watu wa selfie kazi mnayo
Manufacturers wamewateka watumiaji kwenye camera tu ndio maana research zao zinafanywa kwenye camera department tu.
Manufacturers wanaangalia tamaa kubwa watumiaji wa simu ni camera ndio maana wao kwa kuona hivyo wanaboresha camera tu basi.

Angalia Samsung S8,S9 na S10 hazina tofauti yeyote zaid ya CAMERA tu,walianza na single camera wakaja na dual camera na leo hii kuna triple camera hadi 5 penta lenses camera
 
Ha ha ukitumia zile y300 huwezi kuelewa huawei tafuta P series au mate tanga enzi za P6 huawei anampiga gape sana samsung na iphone za kipindi icho na kwa sasa labda washindane na P20, ila hii P30 pro ni level nyingine hata bei yake haishiki
Daah mkuu bhasi ntatafuta huawei aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
acha kuchekesha watu umetoka kwenye dalala ukaona kila mtu anatumia huawei na huawei yako.kuna nchi hata hiyo huawei hawaijui inafananje kama india,usa,canada kwa kuwa mchina kakumata kuanzia dada yako yeshu,mpaka ulivyo navyo nyumbani
 
Huawei sim zao zina better value for money kuliko android nyingine.Pia wanatoa simu kali sana na Samsung asipoangalia yatamkuta ya HTC na Nokia ,ulimwengu wa sim hautakiwi kupigwa gap na mpinzani wako. Bahati mbaya kwa Huawei ni hawaruhusiwi kuuza sim marekani kwa sababu za kiusalama ambalo ni siko namba 2 kwa ukubwa duniani Ila namba 1 kwa faida ya mauzo kwa unit.
 
acha kuchekesha watu umetoka kwenye dalala ukaona kila mtu anatumia huawei na huawei yako.kuna nchi hata hiyo huawei hawaijui inafananje kama india,usa,canada kwa kuwa mchina kakumata kuanzia dada yako yeshu,mpaka ulivyo navyo nyumbani
😱😱😱 unazungumzia hii hii HUAWEI iliyoletewa mada?.
cc: pureView Zeiss
 
Binafsi natumia Huawei P8.
Jamaa wapo vizuri sana Samsung wanasubiri.
 
Duh! Bonge ya gape
Ukiachana na vingine Huawei namfurahia kwenye ile PRIVACY PROTECTION!.. Yani nikiweka hiyo PP napata password 2 za ku unlock simu, nikiweka pass1 simu inafunguka kidefault, nikiunlock kwa pass2 simu inafunguka kama guest hapo contacts, photos, sms kila nilichoamua kuficha hakitaonekana.

Ni kama ile Guest na Admin login za Computer!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…