Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha simu za iPhone na chupa za manukato ya kifahari zikielea katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya meli ya mizigo inayomilikiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuripotiwa kuzama kufuatia kushambuliwa kwa bomu la majini.
Iran imedai kuwa meli hiyo ilikuwa imebeba zaidi ya makontena 2,500, huku mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara yakiongezeka katika njia hiyo muhimu ya kimkakati ya usafirishaji wa bidhaa duniani.
Soma Pia: Meli ya pili ya Kontena yalipuliwa katika mfereji wa Strait of Hormuz