Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Siwapendi na tabia zao, wameshapita na miamala yangu kadhaa ya vocha, ukiwatafuta wanakuambia wanafuatilia lakini mwshowe ukikaa kimya na wao wanapotezea.Airtel ni wezi balaa, juzi walitaka kutapeli hela kwa mama, ambayo alikua ananitumia mie.
Wee niliwabana had walirudisha, *****.
Mie juzi niliwakomalia hatarii, had walirudisha muamala, khaaahSiwapendi na tabia zao, wameshapita na miamala yangu ya kadhaa ya vocha, ukiwatafuta wanakuambia wanafuatilia lakini mwshowe ukikaa kimya na wao wanapotezea.
Mie mwenyewe waliniuzia kisimu cha smart kitochi kwa elfu 70 na kuambiwa kuwa nitawekewa GB ngp sijui kwa mwaka mzima nishasahau. Hawakuniwekea kwa reason natumia line ya zantel eti. Kwa nini hawakupi huo utaratibu tangu mwanzo km line inatakiwa iwe ya tigo na uweke hio elfu 1...sio issue eti elfu 1 kuiweka.Lazima uweke salio angalau 1000 na wameeleza kwenye sms ya kwanza unayopata baada ya kupata offer hiyo
Wanakera sana.Mie juzi niliwakomalia hatarii, had walirudisha muamala, khaaah
Kama hawakukupa utaratibu toka mwanzo walikosea, ilipaswa wakwambie mapema maana hiyo offer ni kwa wateja wa Tigo tuMie mwenyewe waliniuzia kisimu cha smart kitochi kwa elfu 70 na kuambiwa kuwa nitawekewa GB ngp sijui kwa mwaka mzima nishasahau. Hawakuniwekea kwa reason natumia line ya zantel eti. Kwa nini hawakupi huo utaratibu tangu mwanzo km line inatakiwa iwe ya tigo na uweke hio elfu 1...sio issue eti elfu 1 kuiweka.
Anyway ht hiko kisimu chenyewe kishagoma buttons kimekaa tu hakina issue na my 70K is gone