Simu za maduka ya tigo na utapeli wa ofa za mb

Airtel ni wezi balaa, juzi walitaka kutapeli hela kwa mama, ambayo alikua ananitumia mie.

Wee niliwabana had walirudisha, *****.
Siwapendi na tabia zao, wameshapita na miamala yangu kadhaa ya vocha, ukiwatafuta wanakuambia wanafuatilia lakini mwshowe ukikaa kimya na wao wanapotezea.
 
Lazima uweke salio angalau 1000 na wameeleza kwenye sms ya kwanza unayopata baada ya kupata offer hiyo
Mie mwenyewe waliniuzia kisimu cha smart kitochi kwa elfu 70 na kuambiwa kuwa nitawekewa GB ngp sijui kwa mwaka mzima nishasahau. Hawakuniwekea kwa reason natumia line ya zantel eti. Kwa nini hawakupi huo utaratibu tangu mwanzo km line inatakiwa iwe ya tigo na uweke hio elfu 1...sio issue eti elfu 1 kuiweka.

Anyway ht hiko kisimu chenyewe kishagoma buttons kimekaa tu hakina issue na my 70K is gone
 
Kama hawakukupa utaratibu toka mwanzo walikosea, ilipaswa wakwambie mapema maana hiyo offer ni kwa wateja wa Tigo tu
 
Ukifuata maelekezo vizudi huwezu kutapeliwa
 
Ukifuata maelekezo vizudi huwezI kutapeliwa
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom