ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
LAbda anagongwa then malipo yanakuwafixedMdada akikopa simu anagongwaje???
Labda na gari, wakati wa kuvuka barabara akitokea duka la sim..🙄Mdada akikopa simu anagongwaje???
Atuelezee vizuri!LAbda anagongwa then malipo yanakuwafixed
Achana na nyuzi za watoto wanaume wote tupo namba 5 huku mwimeLabda na gari, wakati wa kuvuka barabara akitokea duka la sim..🙄
Nyanzaga ndio habari iliyo nona kwasasa mkuuAchana na nyuzi za watoto wanaume wote tupo namba 5 huku mwime
Daah nakuja mkuu Nyanzaga kitambo sana , ngoja niende kuchoma kwanza hii maliNyanzaga ndio habari iliyo nona kwasasa mkuu