Hiki ndiyo suluhisho haswaHao ilibidi waingie ubia na kampuni za mawasiliano, mtu akikopa deni libaki kwenye NIDA, akiwa na deni asiweze kusajiri line tena..mbona watu watanyooka tu!
Wanaingia ubia na CRB.Hao ilibidi waingie ubia na kampuni za mawasiliano, mtu akikopa deni libaki kwenye NIDA, akiwa na deni asiweze kusajiri line tena..mbona watu watanyooka tu!
Yaani sijakuelewa,wanasajili vipi simu?Hiki ndiyo suluhisho haswa
Ujue vijana wanasajili simu mpaka kero mimi sijui maIT wa bongo wana kazi gani
MaIT wetu wanachojua ni kurekodi simu za watu tu