Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nunua cash.Ni wizi kama wizi mwingine tu
Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k
100000 x 12 = 1.200.000
Makato 12 months ni 1.2 milioni
Hv wanazipigaje hz mkuu ?Wanafidia hasara kwa wajanja wanaowapiga.
ukopeshwe ukae nayo mwaka mzima unadhan faida itatoka wapi😂😂Ni kweli kabisa, ukijaribu kupiga mahesabu ni hela nyingi sana kuliko wewe mwenyewe ungedunduliza ekisha ukanunua cash
Akili zao sijui zikoje, yaani simu ya laki 2, uilipe mwaka mzima afu utoe hiyohiyo laki 2.Wabongo tunachek upande mmoja,
Heb tazama upande wa muuzaji,
Kukaa anapokea nusu hela kwa bidhaa kwa mwaka mzima, ni mateso sanaaa