Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Haki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasua kichwa sio simu za mkopo, ni wewe mwenyewe. Option ya cash hapo umeiona ni 280,000 si utoe sasa.Haki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Lakini sii unakuwa upo hewani mwanawaneHaki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Uchumi mkuuPasua kichwa sio simu za mkopo, ni wewe mwenyewe. Option ya cash hapo umeiona ni 280,000 si utoe sasa.
Yap ila bei ya moto balaaLakini sii unakuwa upo hewani mwanawane
Ndo maaaana ya mkopo ukae na simu ya watu ulipe ela ya ile ile dukani wale wenyewe they want profit.... Hata benki lazima wakupe interest. Hawawez kukupa 20k urudishe 20k hata ulaya iko hvyo ukilipa kwa installalment kuna kiasi kinazid kidgoHaki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Sasa mkuu hiyo sio kidogo ni pasuu kwa pasuuNdo maaaana ya mkopo ukae na simu ya watu ulipe ela ya ile ile dukani wale wenyewe they want profit.... Hata benki lazima wakupe interest. Hawawez kukupa 20k urudishe 20k hata ulaya iko hvyo ukilipa kwa installalment kuna kiasi kinazid kidgo
Last time nilimkopea wife simu price ilikua 1100000 nkapiga hesabu mpak deni liishe nalipa in totla 1420000 not bad.Sasa mkuu hiyo sio kidogo ni pasuu kwa pasuu
Last time nilimkopea wife simu price ilikua 1100000 nkapiga hesabu mpak deni liishe nalipa in totla 1420000 not bad.
ATI nini? M? pasua kichwa ni wewe, kanunue ya 280k, hujashikiwa bunduki huko mzee babaHaki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Chifu kikubwa ni uchumi mzeepasua kichwa ni wewe, kanunue ya 280k, hujashikiwa bunduki huko mzee baba
On how?Vigezo ni uwe na akili timamu tu.
Siku ukiacha kulipia inakatiwa network huwezi kupiga wala kupokeaLast time nilimkopea wife simu price ilikua 1100000 nkapiga hesabu mpak deni liishe nalipa in totla 1420000 not bad.
Kianzio na NIN pia 😃Vigezo ni uwe na akili timamu tu.
Hee! Nimesikia hii kitu, hawakupi siku kadhaa mbele?Siku ukiacha kulipia inakatiwa network huwezi kupiga wala kupokea
Merekebisha kaka ni 1100000ATI nini? M?
Kwa vip?Kianzio na NIN pia 😃
Aah siwezi kuchukuw mkopo wa simu ni mateso sana na utumwa