Simu za mkopo pasua Kichwa

Simu za mkopo pasua Kichwa

Uchumi mkuu
Sasa mkuu nani awajibike kwa uchumi wako kutofikia gharama ya kumudu simu. Nani unataka umtwishe mzigo, anunue simu, alipe kodi, akipe wafanyakazi, umuondolee hela kwenye mzunguko wa biashara alafu aingie risks zote za simu yako kuharibika, kuibiwa, kutengenezwa, wewe kufa, kupotea, kushindwa kulipa?

Yani hayo yote unadhani yanafanyika kww gharama ndogo? Hapo nunua cash au kopa ukishindwa basi nunua refurbished ya bei nafuu.
 
Mzee umepiga mahesabu kadha wa kadha hapa utadhani yote haya yanatokea
 
Kwani ulizuiwa kununua cash siku zote kitu cha mkopo lazima kiwe na riba
 
Ukiamua kuchukua mkopo, chukua na consequences zake
 
Back
Top Bottom