Simu za mkopo

Simu za mkopo

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
667
Reaction score
183
Habari ndugu ninaomba kuuliza kama kuna uwezekana wa kufungua sehemu ya laini mama kwenye hizi simu za mkopo ili hiyo sehemu ambayo huwa ni laini namba 1 iweze kutumika kwa laini yoyote kama umeshamaliza deni!

ahsante.
 
Ukiangalia deni unalolipa na bei husika ni vitu viwili tofauti! Bora ungechanga mia mia kwa siku kadhaa na kuusubiri msimu huu wa sikukuu za Christmass na mwaka mpya ili uipate simu kwa bei ya promosheni.

Samsung galaxy A20 unaipata kwa bei ya 170k (Tsh.170, 000.00) kama aliyenipatia taarifa hajaniuza.
 
JamiiForums kuna majibu ya kibabe, ukianza ku-panic wanakupotezea mazima. Tabia za wana Jf ni ngumu kuzielewa😂😂
Unakuta mdau anakujaza upepo huku amerelax
1000017732.jpg
 
wote mmekimbilia kujibu bila kuelewa maelezo yangu
Maelezo yako yanaeleweka, ila nani atathibitisha humu ndani ya jukwaa kama umemaliza deni au ndio unataka kwenda kukopa?

Huenda watu wanachukulia kama unatafuta shortcut ya kukwepana na jamaa maana kama umemalizana nao wao ndio ilikuwa njia mbadala ya kuondokana na zuio ulilowekewa.

Mwisho wa siku ukiambiwa inawezekana ndio utachukua simu dukani? Na vipi kama njia inayotumika sasa ikija kuwa blocked baada ya wewe kumaliza mkopo?
 
Kuliko kuchukua sim ya mkopo bora nitumie kiswaswadu.
Simu za mkopo ni utumwa bora hata ukope hela ununue simu hela nyingine iliyobaki ufanye biashara.

Maana simu ya laki mbili unakuja kulipa karibu laki tano na hapo huna akiba mfukoni katika huo mkopo husika.
 
Habari ndugu ninaomba kuuliza kama kuna uwezekana wa kufungua sehemu ya laini mama kwenye hizi simu za mkopo ili hiyo sehemu ambayo huwa ni laini namba 1 iweze kutumika kwa laini yoyote kama umeshamaliza deni!

ahsante.
ujinga wa simu za mkopo uko hivi:-
-Hawakwambii ukweli unapochukua simu..
-Pesa utakayotoa mwanzoni wanadai hyo ni riba(tuseme umetoa 177,000) siku ya inayofuata unaanza kulipa mkopo ukiSTOP hata one day wanaifunga simu(mf.Onfon)
-Wanakusanya taarifa zote zako wakati unatumia simu kuanzia location,list of apps,the time you use in every app,messages,camera,photo yaan kila kitu inshort they spy on you!!!!!
-Hakuna kuandikishana na hawakupi document yyt ile ya umilki wala inayoonesha utaratibu zaidi wanakupa mdomo(wezi) na wanafanya hivi ili usiweze kuchukua legal steps incase ukija kujua wamekurubuni!(Wameniuzia infinix hot 50 pro plus wakidai nilipe 177 halaf baadae kila mwezi ntakuwa nalipa 93 kwa miezi sita)Kesho yake nataka kulipa naingixa menu naambiwa ntalipa 93 kila mwezi kwa mwaka mzima yaan simu ya 550,000 nilipe 1300000!!!!!!!!Ujinga.
-Ukiwapigia wanakupaki no any help wanajua usipolipa wanaifungia simu kwakuwa wameshainstall device admin app inaitwa adamThink na unapojaribu kuDEACTIVATE inagoma!!!Inshort hawana tofauti na DECI na vile vikampuni vya kitapeli vilivyoibukaga wakat wa nyuma.
-Mimi nimesamehe hyo 177000 waliochukua,kwasabab siwez kulipa juu yake 1131500 kwa miezi 12 nje ya makubaliano ambayo waliniambia ningelipa kama 550000 hv kwa miezi 6!!!Hapo siwez..hii simu kwakuwa wameifungia nitaitunza kama kumbukumbu ya kupigwa!
SIMSHAURI MTU KUKOPA SIMU those guyz are pure thieves!!!!!!
 
Mkuu kwan hizo simu mnakopa barabarani? Si uwafuate ofisini ulikochukulia
 
Mkuu hakuna namna unaweza kuwa'bana.Kumbuka wakati wananipa simu ni kwa mdomo hakuna document wala mnaposaini.Halaf nikisema niirudishe wataichukua vzuri lakini kumbuka hawafuti deni ambalo liko embedded kwenye NIDA!!!!!!!So hapo wameshanikaanga mzee
 
Back
Top Bottom