Wasibadilishe. Hvyo hvyo tumekuelewa. Serikali ipunguze kodi tununue mpya... I am out.Moderators heading ilipaswa kusomeka simu za mtumba
Kuna mwamba aliweka maelezo humu akasema ukitaka kununua simu nenda kwenye settings kaangalie hiki kitu kwanza ndio ununue kinyume na hapo achana na hio simuModerators heading ilipaswa kusomeka simu za mtumba
Kuna mtu alinunua S10 kwa Zahoro hadi leo inapiga kazi. Wengine tumenunua S20 na S22 kwake, na tukabadirishiwa x2 bado mbovu.Mtumba kuna kupatia na kupatiwa
Same. Mpya labda vitochi. Ila uwa nakua makini nowadays kwa nnaeenda kununua.nakushangaa.
toka nizaliwe sijawah nunua sim mpya.
na kibaya zaid ninaweza kununua hata isiyo waka kabisa kishani kaiset iwage mambo yana songa.
nikikwama yaan sijali ubora.
lamhim iwe ni smart.
Mdogo mdogo. Mi nakomaa nauli iPhone 14P hadi 2027 πNguo tunavaa mitumba,
Magari, tunanunua mitumba
Sioni tabu kununua refubrished...
sijawahi nunua simu mpyaaaaa.. ni mwendo wa used tu, na sintakuja nunua mpya... watu wakiwa s26 mie ndio kwanza nipo s22, watu A57 mie ndio kwanza A54.. watu wapo iphone 17 huko, mie ndio kwanza nacheza na 12 mwisho 15.
Mkuu tunafanana tabia, nilikuwa na s22 nimempa mama watoto, hapa nina s10 na A54, sina mpango wa kununua simu mpaka ife..Mdogo mdogo. Mi nakomaa nauli iPhone 14P hadi 2027 π
Siku ukijipata unanunua S24 hapo zimeshatoka S28 πMkuu tunafanana tabia, nilikuwa na s22 nimempa mama watoto, hapa nina s10 na A54, sina mpango wa kununua simu mpaka ife..
Kanuni yangu kwenye kununua simu, nilijiapiza nitanunua simu ambayo hata ikifa leo, basi nina uwezo wa kutengeneza hapo hapo au lah niwe na uwezo wa kuinunua bila kuwaza.
Sasa kwa maisha yangu mimi, kutumia s26 ama iphome 17, simh ikipotea napandwa na ukichaa sitaki.. humu humu s10,s22 hata ikiharibika mawazo madogo,
ππ€£π€£
S26 nitanunua wenzangu wakiwa s30 ππ€£Siku ukijipata unanunua S24 hapo zimeshatoka S28 π
Kushindana na teknolojia ngumu sana sisi vipato vya kati