Simu za nyumba ni mtego unaomaliza pesa za watu

Kuna mtu alinunua S10 kwa Zahoro hadi leo inapiga kazi. Wengine tumenunua S20 na S22 kwake, na tukabadirishiwa x2 bado mbovu.

Mtumba kama kubet
Ulisemacho ni sahihi, japo hata mpya unaweza kukutana na famba ukajuta
 
Mi naomba jinsi ya kujua kama simu ya Samsung kama imebadilishwa kioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…