Simu za Tigo zitasalimika? Maana nikicheki IMEI naona hola

Uza kabla haijakufia huku ukiitazama
 
huawei nying tu zipo vizur hata techno nazo fresh,tatizo lipo kweny galaxy copy na experia za laki 2
 
Hivi tunaangaliaje km ni fake?????
Unaminya *#06# itakuletea IMEI namba utazicopy pembeni
Kisha utazituma hizo namba {IMEI} kwenda namba 15090.
Inatakiwa ikuletee model namba na manufacturer sawa na simu yako mfano:- kama simu yako ni huawei y530,na manufacturer ni huawei company ltd, sms itakayotumwa inatakiwa model namba na manufacturer zifanane
 
Asante! Mimi IMEI # ipo kwenye simu kuna sehemu imeandikwa about phone kwenye settings...!
 
*#06# kwa ajili ya kuchek imei
Imei unatuma kwenda 15090
Ndiyo nikiandika nijafanya km kupiga naambiwa unknown application nimejaribu narudishiwa ujumbe uleule haileti hiyo IMEI#
 
*#06# kwa ajili ya kuchek imei
Imei unatuma kwenda 15090
Mkuu imekubali na zimetokea [HASHTAG]#mbili[/HASHTAG] zinatofautiana digits 2 za mwisho nazituma zote 2 au moja ila imedisplay IMEI NAMBA
 
Unaweza tumia moja kwa uhakika zaid jaribu kucheki zote
 
Naomba mnichekie na mimi kwang nimeshindwa 351620060785862/01
351621060785860/01
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…