homeboy41
Member
- Oct 20, 2020
- 18
- 24
Habari za Leo Wana jamvi.
Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu.
Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni used from Dubai.
Au kama Kuna link ya kununua Moja Kwa Moja kutoka Dubai mnipe hapa
Naombeni mawazo yenu