Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

Zina uhai bosi
 
Nllinunua 2 zote nzima. Google pixel ilikuwa na shida ya kufungiwa mtandao wakanibadlishia ipo vizuri. Sum sang s8+ mwaka sasa haina shida yoyote .
Sumsang niliipata iliotumika korea sio Dubai ni kama mpya. Ingekuwa Mbeya ningekuelekeza duka. Cha msingi zingatia duka, nunua kwa wale wanaoagiza sio wengine.
 
Nipo mby nahitaji
 
Nipe namba zao
 
Nashangaa hivi Dubai kuna Kiwanda cha Simu?


Kila muuza simu za bei nafuu anasema used kutoka Dubai.
 
Sumsang? Hiyo sio ya kampuni ya samsung, umepigwa mkuu 🤣🤣
 
Jambo ninalokumbuka sina hakika lina ukweli kiasi gani.

Wanasema ni Used lakini sio Used ni Simu mpya hizo ambazo ni copy ya matoleo halisi na zinatengenezwa South Korea na China.

Simu hizo huja baada ya mwaka au miaka miwili ikishatoka toleo original. Hivyo zinashushwa bei na ili usishtuke wanaziita ni Used clean au Refurbished.

Niliwahi kuchukua mzigo wa simu za Samsung wa biashara nikiamini Samsung ni simu bora kilichonitokea ni balaaa.
 
Nashangaa hivi Dubai kuna Kiwanda cha Simu?


Kila muuza simu za bei nafuu anasema used kutoka Dubai.
Dubai hawana viwanda vingi lakini ni kitovu cha biashara nyingi kutokana na sera ya kodi, custom duty na kodi zingine ni ndogo sana karibu na hakuna..
 
Dubai hawana viwanda vingi lakini ni kitovu cha biashara nyingi kutokana na sera ya kodi, custom duty na kodi zingine ni ndogo sana karibu na hakuna..
Aiseee kazi kweli kweli
 
Nipe kazi kaka mimi nipo Dubai kama utaamini hizo simu pia naleta hapo china plaza kkoo .Whatsapp me +97156 6941 622 Sama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…