Simuelewi Baba Mkwe wangu

Simuelewi Baba Mkwe wangu

Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.

Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchawi. Akimuona mwanae anafurahi sana lakini akiniona tu unakua mkinywa mwenye sura ya ukauzu

Hata nilipompa ujauzito binti yake kabla sijamuoa mzee aliwahi kuniambia namtaka mwanae ili nipate ahueni ya kimaisha, lakini sikuwahi kumuomba hata chumvi huyu mzee mwenye mwenye tuhela twa tia maji tia maji.

Mtoto wake na mama mkwe wananipenda sana lakini dingi kauzu dagaa kama mwarabu fighter nipeni ushauri wazee au nimkate kidevu.

By mdau mmoja hapa Dar
tafuta hela

umekimbilia kuoa mtoto wa tajiri....haya ndio unayopata,vumilia

anakudharau,uko low zaidi yake yeye....unatakiwa uwe above him

thats your work to do nobody else
 
Dingi nenda naye bar mpigisha mitungi kisha mtafutie malaya, believe me atakuwa mshkaji wako kinoma. Mm nimewahi fanya hiyo kwa mjomba angu lakini [emoji1787]
hahahah We broo ni hatari sana
 
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.

Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchawi. Akimuona mwanae anafurahi sana lakini akiniona tu unakua mkinywa mwenye sura ya ukauzu

Hata nilipompa ujauzito binti yake kabla sijamuoa mzee aliwahi kuniambia namtaka mwanae ili nipate ahueni ya kimaisha, lakini sikuwahi kumuomba hata chumvi huyu mzee mwenye mwenye tuhela twa tia maji tia maji.

Mtoto wake na mama mkwe wananipenda sana lakini dingi kauzu dagaa kama mwarabu fighter nipeni ushauri wazee au nimkate kidevu.

By mdau mmoja hapa Dar
Huyo alikuwa anambandua binti yake sasa anakuonea wivi. Wazee dizaini hiyo noma sana akikutembelea ujue roho juu maana lazima ugongewe tu
 
Ananinyima raha kiongozi yaani tukibaki wawili no story ni mikausho tu
Mkuu unapataje muda wa kukaa na baba mkwe na kupiga nae story ? Hao watu inatakiwa uwe unaonana nao Mara chache mnoo , tena kwa dharura tu
 
Bora hata wako. Baba Mkwe wangu hana namba yangu ukimpigia kumsalimia anakuuliza we nani[emoji16][emoji16] unajitambulisha siku zinaenda. Mara ya pili tena unaulizwa we nani[emoji16][emoji16] mtu ana nguvu kabisa nkajitumia na ka pesa ka mafuta ya gari lake akaona ila hawezi kusevu namba. Mara ya 3 namsalimu anauliza tena we nani nikajitambulisha nika relax ni mwaka wa 3 huu salam nazisikia kwa mwanae. Akaanza niingilia kwenye familia yangu niliwasha Moto huko kwao hamna nae ongea nae sina shida kabisa staki ujinga
Wazee wengine jau washamba wakiona mtoto wao kaolewa na kijana labda yeye kamzidi kauwezo wanaleta jeuri, dawa yao kuwapotezea kabisa ili wakuone huwa shobokei.
 
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.

Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchawi. Akimuona mwanae anafurahi sana lakini akiniona tu unakua mkinywa mwenye sura ya ukauzu

Hata nilipompa ujauzito binti yake kabla sijamuoa mzee aliwahi kuniambia namtaka mwanae ili nipate ahueni ya kimaisha, lakini sikuwahi kumuomba hata chumvi huyu mzee mwenye mwenye tuhela twa tia maji tia maji.

Mtoto wake na mama mkwe wananipenda sana lakini dingi kauzu dagaa kama mwarabu fighter nipeni ushauri wazee au nimkate kidevu.

By mdau mmoja hapa Dar
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom