Simuelewi huyu ex wangu

Hapo kwenye mambo safi na kupigwa tough ndiyo sijapaelewa yaani upigwe tafu na pesa za mwaume mwezio anayehudumia mke wake? Kuna tukio unalitazamia wewe eeh shauri tabia za kimarioo hizo.
 
Hapo kwenye mambo safi na kupigwa tough ndiyo sijapaelewa yaani upigwe tafu na pesa za mwaume mwezio anayehudumia mke wake? Kuna tukio unalitazamia wewe eeh shauri tabia za kimarioo hizo.
Wanasema usiusemee moyo wa Mwingine, huwezi jua akiona hali ngumu anayoipitia Mwenzake akaingiwa huruma akampa hata mtaji ajiajiri.
 
Mkuu wanawake wana visasi vizito hasa kwenye suala la kuumizwa ki hisia

Nilishawai muumiza mdada hivy hivy yaani kilichotokea ni hatari nilijutaaaaa

Na aliniambia bado maisha yangu nitajutia labda niwe mbali sna nae au nife
 
Duh, ni noma...ila inategemea na Mtu na tabia yake.
 
Kwenye komenti yangu moja katika mada mojawapo .
Nikiwahi kusema ikiwa mwanaume utaachana na mwanamke vizuri au vibaya tafuta sana hela ili siku hata mkikutana bahati mbaya usianze kujificha kwenye migongo ya wanaume wenzio .
Nilisema haya kwakuwa imezoeleka wawili wakiachana basi wanaume uwa tunakuja kusema oooh nimekutana na ex wangu kakonda kaisha na ameolewa na kadume kazee 😂 mara zote tumekuwa tunasahau na sisi kuwa si mara moja wala mbili uwa inatulazimu kubadili njia maana unakutana na ex wako mambo yapo super sana .

Ona sasa ubaya unakuhukumu pole sana ila wewe zitafute zako ,ukweli usiopingwa ni kuwa akikusaidia una asilimia 89% za kuwa mtumwa wa ngono .

Ndimi mshauri wa mapenzi ,kutoka nyota ya mbali .

Note sijalewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…