Simuelewi huyu ex wangu

Simuelewi huyu ex wangu

Mimi nataka kujua uyo dada ni kabila gani mkuu? then nta-comment
 
Una hamu ya kupigwa tukio....endelea kujisogeza.
Kisasi is loading.....
Una akili sana!
wanaume wengi hawaelewi kuwa wanawake wanauwezo wa kubeba vyote viwili lakini wakifisha siraha kwa nyuma kwakuwa ni wazuri katika mission
 
nakushauri umfanye rafiki wa kawaida na si kurejesha mahusiano, rafiki angu aliwahi mkataa dada mmoja aliempenda sana, yule dada aliumia hata akataka kunywa sumu....

masiku yakapita wakaja kutana pahala yule dada akamchangamkia sana mwamba, mwamba akaona si kesi akarudisha majeshi bt kilichomkuta.... wanawake wanatunza sana visasi hivo si wakuwazoea.
 
Huo ni usakala
Na anaejipeleka hivyo muda wowote ataliwa kinyeo, wanawake kwenye visasi waache tu!
Ila haijasmwa kama ana kisasi.

Hatumjui vizuri huyo Dada lakini ni kwa nini pia tusimfikirie pisitively?.
 
Siku ukienda ndio utajua maana halisi ya username yako mayday kama rubani wa ndege anavyoomba msaada akipata tatizo
 
Ah kabisaa sema ndio hivyo sijapata limama lakunipenda niligegede huku lina nihudumia
Oooh ndo upo mawindoni sio?

Au mi ndo muwindwaji?

Bahati mbaya sijawahi kuhonga hata buku tu kwa mwanaume anaenigonga hapa umepotea,

So pita hivi👉
 
Unitende afu tena ujirudishe ayayayayayayaa ntahakikisha umetoweka kwenye ulimwengu wa wanadamu wa kawaida
Usisahau kuna Watu wamejaliwa kusamehe na kusahau.....ni Wachache lakini wapo.
 
Oooh ndo upo mawindoni sio?

Au mi ndo muwindwaji?

Bahati mbaya sijawahi kuhonga hata buku tu kwa mwanaume anaenigonga hapa umepotea,

So pita hivi👉
🤣🤣🤣🤣 Ah wapi wala sikuwindi. Kuwa na amani kabisa
 
Ananisimulia jamaa yangu:-

Miaka kama tisa iliyopita nilikuwa kwenye mahusiano na Mwanadada mmoja tuliyekuwa tunafanya nae kazi kwenye kampuni moja.

Ndani ya miaka mitatu mapenzi yetu yalikuwa motomoto kabla ya Mimi kuamua kujitoa ghafla bila ya hata sababu za msingi. Hali iliyomuumiza sana Mwanadada huyu mpaka kupelekea kuhitaji msaada wa kisaikolojia (niliambiwa na watu wake wa karibu).

Siku zikapita kila Mtu akiendelea na maisha yake....baadae Dada alipata Mtu mwingine na sasa ana maisha yake na wana Watoto wawili.

Baada ya kupoteana kwa muda niliamua kumtafuta kisirisiri kujua yuko wapi na anaendeleaje kwani Mimi niliacha kazi kwenye ile kampuni nae nikasikia baadae aliacha.

Baada ya sakasaka ya muda karibia miaka miwili hatimae nilimpata kwenye facebook akitumia jina tofauti kabisa...na nilimshtukia kupitia comment yake kwenye ukurasa wa Mtu.

Nilianza kwa kucomment na ku like kwenye post zake mwishowe aligundua ni mimi...kinyume na matarajio yangu Dada akaonesha amefurahi sana na tukaanza kuwasiliana. Kutoka hapo tumekuwa tunawasiliana mara kwa mara huku mimi nikiwa muoga kumtonesha kidonda cha yaliyopita kwani ni dhahiri ya kuwa nilimuumiza sana mpaka nikikumbuka najiona sifai....nakumbuka neno la mwisho alinitumia kwenye meseji wakati huo "wewe ni shetani...wewe ni muuaji"

Kwa sasa huwa tunafuatana facebook ku comment na ku like, na mara moja moja huwa anakuja inbox...mimi kama mimi sijawahi kuanza kwenda inbox ila kuna siku niki comment kwenye post yake yeye anakuja inbox na tunachati hili na lile.

Kuna wakati atapost yupo kwenye bata na Wanae au Rafiki yake/zake, niki comment tu yeye ata comment "njoo".....mimi naishia tu kusema "nipo mbali ningekuja".

Kwa sasa mambo yake ni safi kwani ni boss kwenye kampuni anayoifanyia kazi na ameanzisha kampuni yake ya utalii.

Bado sijaelewa kama ananikaribisha ki roho safi pamoja na nilichomfanyia miaka kadhaa nyuma. Ingawa nimeshawahi kumuuliza kama alishanisamehe akaniambia yaliyopita yamepita tuachane nayo.....Huo moyo ndio bado nimeuogopa.

Ningekuwa sijamtenda ningekuwa huru hata kumwambia anipige tafu maana mambo yake safi huku mimi nachechemea.
Watu kama ww ndio mnadhalilisha kada ya wanaume.. Maana hujielewi na huelewi nini unataka yaani kwa ufupi ni upoupo tu
 
Back
Top Bottom