samhillu12
Member
- Oct 7, 2021
- 94
- 208
Habari wakuu!
Moja kwa moja kwenye mada husika. Nilikua sehemu huko kijijini napiga kazi, ila baada ya muda kama wa mwaka nikahamia town.
Kule bush nikawa nimezoeana na jamaa flan nae ni Mtumishi ila sio kiukaribu sana ingawa wote tulikua watu wa gambe(me zaidi maana jamaa kichwa chepesi).
Sasa issue unakuja jamaa kwangu naona amekua msumbufu, yaani msg ni asubuhi, mchana jioni. Zote za kusalimia tu hazina tija kabisa,(umeamkaje? Amka tukalijenge Taifa, uwe na usiku mwema, nk).
Nachoka msg zake ila nashindwa nimwambiaje? Ushauri tafadhali.