Simuelewi huyu jamaa

Simuelewi huyu jamaa

samhillu12

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
94
Reaction score
208
Habari wakuu!

Moja kwa moja kwenye mada husika. Nilikua sehemu huko kijijini napiga kazi, ila baada ya muda kama wa mwaka nikahamia town.

Kule bush nikawa nimezoeana na jamaa flan nae ni Mtumishi ila sio kiukaribu sana ingawa wote tulikua watu wa gambe(me zaidi maana jamaa kichwa chepesi).

Sasa issue unakuja jamaa kwangu naona amekua msumbufu, yaani msg ni asubuhi, mchana jioni. Zote za kusalimia tu hazina tija kabisa,(umeamkaje? Amka tukalijenge Taifa, uwe na usiku mwema, nk).

Nachoka msg zake ila nashindwa nimwambiaje? Ushauri tafadhali.
 
Take care, Hana nia njema huyo
 
Kwann usichukulie tu huyu ni Mwanangu wa Damu, tunapombeka Sanaa pamoja!!

Mpaka Uugue hoi hoi ndo umjuze, "Oyaa Man naumwa ??.!!.

Kwa mfano, unaweza wee ukawa unamchek Jamaa night tu. Anapokuambia "Usiku mwema"

Unamjibu ..Daah Kamanda Life gumu yaan ni kupambana tu mpaka nashindwa kujibu sms Kwa wakati ".

Nahisi, unachohisi wewe, ni Cha kishetani.

Walevi na walevi Hujuana !!
 
Back
Top Bottom