samhillu12
Member
- Oct 7, 2021
- 94
- 208
Take care, Hana nia njema huyoHabari wakuu!
Moja kwa moja kwenye mada husika. Nilikua sehemu huko kijijini napiga kazi, ila baada ya muda kama wa mwaka nikahamia town.
Kule bush nikawa nimezoeana na jamaa flan nae ni Mtumishi ila sio kiukaribu sana ingawa wote tulikua watu wa gambe(me zaidi maana jamaa kichwa chepesi).
Sasa issue unakuja jamaa kwangu naona amekua msumbufu, yaani msg ni asubuhi, mchana jioni. Zote za kusalimia tu hazina tija kabisa,(umeamkaje? Amka tukalijenge Taifa, uwe na usiku mwema, nk).
Nachoka msg zake ila nashindwa nimwambiaje? Ushauri tafadhali.
Kivipi jamani? Nyie wanaume mnanishangaza sana😅😅Take care, Hana nia njema huyo
Hahaha mark my word ShemKivipi jamani? Nyie wanaume mnanishangaza sana😅😅
Mwenzako akituma msg kukutakia usiku mwema unajisikiaje?Hahaha mark my word Shem
Aaghh Wapi haijawahi nitokea unless tuwe kwenye maongezi au chats ila from nowhere unamtakia usiku mwema mwanaume mwenzio, big noMwenzako akituma msg kukutakia usiku mwema unajisikiaje?
Dah haya bwana😅😅Aaghh Wapi haijawahi nitokea unless tuwe kwenye maongezi au chats ila from nowhere unamtakia usiku mwema mwanaume mwenzio, big no
HaaaaHuyo mwanaume ni wa Kinondoni?
Wanaume ni kosa kuchat kupitia text na kutumiana text kiasi hichoKivipi jamani? Nyie wanaume mnanishangaza sana[emoji28][emoji28]
Nilishanga nisikuone humuHuyo mwanaume ni wa Kinondoni?
Hahaha kumbe ni lazima ningetokea hapaNilishanga nisikuone humu
Kuomba ushauri si dhambi.si umchane makavu, haina haja ya kujaza server za JF
Minor issues hizo sasaKuomba ushauri si dhambi.