Simuelewi huyu kimwana.

Simuelewi huyu kimwana.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Habari zenu jf!kuna mdada mmoja hvi nilimpigaga sound kama miezi miwil imeisha pita,akantolea nje then akanipa sababu yake kubwa ambayo na mimi niliiona ni ya muhimu sana kwamba alikua na boyfriend wake wa muda mrefu na wanapendana sana,well mm nkaridhka na majibu yake nkampotezea na kuendelea na maisha yangu,sasa cha kushangaza cku za hvi karbuni amekua na tabia ya kunipigia cm mara kwa mara tena muda wa ucku,ananiambia eti ananimiss sana na huwa anaipenda sauti yangu hvo anapenda mara kwa mara kuickia...me huwa namjbu 2 asante!sasa wakuu huyu kidosho ana maansha nin kunambia hvo na wkt alishaga nchinjia baharin?
 
Huyo wa kumwangalia sana .....KESHALIKOROGA HUKO BOYFRIEND WAKE............... Labda kama unataka kumtwanga na kumtema...........
 
Mpotezee huyo kashalikoroga kwa boyfriend wake.
 
Habari zenu jf!kuna mdada mmoja hvi nilimpigaga sound kama miezi miwil imeisha pita,akantolea nje then akanipa sababu yake kubwa ambayo na mimi niliiona ni ya muhimu sana kwamba alikua na boyfriend wake wa muda mrefu na wanapendana sana,well mm nkaridhka na majibu yake nkampotezea na kuendelea na maisha yangu,sasa cha kushangaza cku za hvi karbuni amekua na tabia ya kunipigia cm mara kwa mara tena muda wa ucku,ananiambia eti ananimiss sana na huwa anaipenda sauti yangu hvo anapenda mara kwa mara kuickia...me huwa namjbu 2 asante!sasa wakuu huyu kidosho ana maansha nin kunambia hvo na wkt alishaga nchinjia baharin?
its your time, MCHINJIE JANGWANI kama yeye alikuchinjia baharini
 
Kwanza ni msichana wa kiafrika, usidhani angekuitikia moja kwa moja bila kukuzingua,
sasa ndugu, kwa kuwa amekuona we ni mstaarabu kaona bora akutongoze mwenyewe, piga mistari iliyonyooka vizuri uje upate mzign kilainiiiiiiiiiiiiiiii!
Mwambie hata we huwa unamis sana sana sauti na yeye mwenyewe hasahasa ................
 
Yaani hiyo tabia siipendi, yaani aniambie ana mtu halafu aanze kunitega tena... Kwanza mdada akishanambia ana mpenzi mzuka wote unaisha no matter nilikuwa nimemzimikia kiasi gani.
 
piga start garri then tia full tank brake ya kwanza kwake au kwao kamata mkono peleka guest ya jiran then ingiza bao zako tatu shika mkono tena rudisha home kwisha habari yake. usipige simu tena wala usipokee ya kwake atakizingua huyo.
khaaaa!
 
wanaume bwana, mkikubaliwa haraka mnatuita malaya, tukiringa ohh nimechinjiwa baharini, hiyo ni sababu moja wapo yakumringia mwanaume.
si afadhali yeye amekwambia ana boyfriend, mi huwa nasema nimeathirika au lesbian.
kwahiyo huyo dem sio kwamba alikwa na mtu,ila alikuwa anajipa mda wa kukuchunguza na kuona kama unafaa.
 
Kwanini usimuulize YEYE anachomaanisha?! Hapa hamna mwenye jibu la uhakika...kila mtu anahisi ahisivyo.Muuloze mhusika!!
 
Kwani akikupigia simu amekwambia ndio anakutaka kimalavi davi??
Amekumiss tu, usipeleke mawazo kuleeee.
 
Kwani akikupigia simu amekwambia ndio anakutaka kimalavi davi??Amekumiss tu, usipeleke mawazo kuleeee.
kwani kwenye thread yangu kuna sehemu nimesema ananitaka mkuu,ka huoni vzr jarbu kuvaa na miwani.
 
piga start garri then tia full tank brake ya kwanza kwake au kwao kamata mkono peleka guest ya jiran then ingiza bao zako tatu shika mkono tena rudisha home kwisha habari yake. usipige simu tena wala usipokee ya kwake atakizingua huyo.
u wont b seriouz mkuu,kirahc rahc hvo kweli?
 
Jamani,i xperienced it miaka mitatu,kila siku oo haiwezekani,oooo nna wangu....miaka mitatu,nikaamua kunyamaza,..........sasa siku hizi haishi kupiga simu......na kulalama kuwa nimemuacha ...........sina mpango nae.........simjali........na lawama kedekede
wanaume bwana, mkikubaliwa haraka mnatuita malaya, tukiringa ohh nimechinjiwa baharini, hiyo ni sababu moja wapo yakumringia mwanaume.si afadhali yeye amekwambia ana boyfriend, mi huwa nasema nimeathirika au lesbian.kwahiyo huyo dem sio kwamba alikwa na mtu,ila alikuwa anajipa mda wa kukuchunguza na kuona kama unafaa.
 
wanaume bwana, mkikubaliwa haraka mnatuita malaya, tukiringa ohh nimechinjiwa baharini, hiyo ni sababu moja wapo yakumringia mwanaume.
si afadhali yeye amekwambia ana boyfriend, mi huwa nasema nimeathirika au lesbian.
kwahiyo huyo dem sio kwamba alikwa na mtu,ila alikuwa anajipa mda wa kukuchunguza na kuona kama unafaa.

Huyu hakukubaliwa haraka ila alipigwa ngwara kwa kuambia ya kuwa she is preoccupied with some other dude..........sasa hatufahamu nini kilichotokea huko kwa huyo BF hata kidosho akabadilisha mawazo...........................nadhani kwa kuanzia amstue mwali kuwa njemba ile vipi..............baada ya hapo atajua ukweli uko wapi kabla ya kumhukumu...............asije akaacha mali kwa msala upitao............lol......
 
u wont b seriouz mkuu,kirahc rahc hvo kweli?

kaa apo sasa na hayo matongotongo usoni, soma alama za nyakati. kipindi unamtongoza alikuwa na mtu akidhani kwamba watafika mbali kumbe jamaa alikuwa anakula kisela na unavyoona karudi kwako jamaa keshakula kasepa so majeshi anataka kuhamishia kwako.

issue sio ngumu hiyo, kuwa mtoto wa mjini bwana, hivi hujawah kutana na demu kwenye daladal au kumpa lifti kwenye gari lako then ukachukua namba asubuh. mchana ukampa lunch, jion ukampigia kumuuliza upo wapi akakujib yupo home, akakuelekeza ukaenda karibu na baa apo mtaani kwao akaja mkapata moja moto moja baridi,ukashika makono ukaenda dukani kwa mangi ukabeba kondomu sambili usiku ukaenda gest kugonga huku mkiwa mmekole akiraji kimtindo.saanne usiku ikamrudisha kwao. then ukafuta na namba.
yani demu umekutana naye ndani ya massaa kadhaa mpo gest unachapa humjui hakujui yan daladala au lifti ndo imewakutanisha.
 
kwahiyo huyo dem sio kwamba alikwa na mtu,ila alikuwa anajipa mda wa kukuchunguza na kuona kama unafaa.

too good to be true...............................because why lie?
Kwa nini usiseme ukweli kuwa kwa sasa sioni mwelekeo wowote na yeye kuliko kusingizia njemba hewa na kumtonesha mwenzio kwa wivu wa kufikirika na kusadikika.......................kama hii ni kweli basi huyo demu kaa naye mbali...........................once a liar always a liar..............
 
Back
Top Bottom