Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Habari zenu jf!kuna mdada mmoja hvi nilimpigaga sound kama miezi miwil imeisha pita,akantolea nje then akanipa sababu yake kubwa ambayo na mimi niliiona ni ya muhimu sana kwamba alikua na boyfriend wake wa muda mrefu na wanapendana sana,well mm nkaridhka na majibu yake nkampotezea na kuendelea na maisha yangu,sasa cha kushangaza cku za hvi karbuni amekua na tabia ya kunipigia cm mara kwa mara tena muda wa ucku,ananiambia eti ananimiss sana na huwa anaipenda sauti yangu hvo anapenda mara kwa mara kuickia...me huwa namjbu 2 asante!sasa wakuu huyu kidosho ana maansha nin kunambia hvo na wkt alishaga nchinjia baharin?