Simuelewi huyu Mwanamke-Msaada wanaJF

mapenzi ni kama chemchemi hutoka kwenye mwinuko kuelekea bodeni so huwezi ku lazimisha maji yapande mlima hata siku moja.
 
Sifa kuu ya mwanamke ni kutunza siri za ndani, in so doing anakua anamtunzia mwenzie heshima yake, ur really a lucky man kupata binti wa namna hiyo, trust me kama huyo binti angekua "mbwabwaji", nakuwaambia hao "rafiki" zenu...OOOhh yes bado tunaugomvi...Oooh ndio tumeachana...hw wud it help? This is not the best way to read someone's mind, madhara yake ni makubwa sana..yaani mi huwa sikubaliani KABISA na ishu za kuexpose shida/ugomvi wa mapenzi yetu,

Halafu, ngoja nikwambie, mshichana akishakuchoka, akaamua ku-end ur relationship hata huwa hasubiri mpaka kukuche, yani ni fasta, tena na watu wote atawafahamisha, I mean nothing to lose afterall, right? ila ukiona anakutunzia siri na anawaambia watu we still together, then ur still together. Tatizo wewe unaharaka ndugu yangu...sis hatujui ulimjeruhi kiasi gani, bt she is trying to heal, and healing takes time, and you need to support her...sio kuanza eti kumpiga biti..mmhhh ni kama kujaribu kumsukuma kidogo tu mtu aliye simama katika edge juu ghorofani, what d u expect? atasema..aaahhh, kumbe he isnt even worth it, najaribu kuona kama kabadilika na kajifunza kumbe yeye anajiona ndo yeye, ok fine..AM DONE, sasa nani atafaidika hapo? u ll both lose, d u want it that way?

Just tell her sh is stuck with you, ur not going anywhere and ur here to stay, but dnt pressure her for ur own selfish advantage... maana wewe unajitahidi kukifunikafunika kidonda wakati bado kibichi..yeye kwa mawazo yake anataka kikauke...so be patient (patience is a virtue).

Yani kwenye hii ishu ur the key player, uamuzi utakaochukua will hugely matter..and will decide ur fate.

Nakutania mawazo mema yenye uvumilivu, afterall, we humans were designed to solve problems, yes you can,
 
endelea kuomba msamaha usichoke anakupima huyo kama ukikata tamaa atajua huna mapenzi ya dhati kwake

Duh, mkuu ni almost mwezi wa tatu huu naomba tu msamaha. Ni mtu wa aina gani asiyekubali kusamehe? Ndio nakiri nilimuumiza sana, but haikutokea kwa kupenda, jst kwa kipindi kile I couldn't resist 🙁
 
This is one of Advantage being kwa hii jumuia. Thanks a lot Leney. You and all mliochangia hapa mmenifanya nione na nifikiri what I never saw n never think. I'll do that.
 
Ushauri taken. Thnx mkuu
 
hapo umemaliza kila kitu my dear
 
Let me be brief, don't waste your time. She doesn't love you completely!! Drop her immediately.
 
Mtafutie kimwana mwingine afu mpite mbele yake huku mkiwa close,,kwa minajili ya kumpa majilasi tu na si zaidi ya hapo.

kwisha habari yake.
 
huyu GF wako anaonekana hakufurahishwa na kitendo cha ugomvi wenu kuwafikia watu wa pembeni, na ndio maana kila anaengea nae anamwambia tumesolve tuko poa. bado hajakuacha anakuhitaji hizo ni mbwembwe tuu anakupima IQ yako na uvumilivu. she still loves man!!
 
hahaha michelle umebinya binya kabisa akili ya huyu jamaa:sick:

Pole kwa matatizo yanayokusibu bachelor mwenzangu. Mimi mwenyewe nina tatizo linalofanana kabisa na hili na ninaishi thousands miles from my GF. Kwa mtizamo wangu mimi nafikiri kutatua mgogoro kwa njia ya simu peke yake mara nyingi inakuwa ngumu sana kwa sababu kuzungumza na mtu ambaye hakuoni huwa anakuwa huru kufanya chochote anachojisikia.Nakushauri panga safari uende ukazungumze naye face to face. Kwa kuzungumza face to face kila mmoja anapata muda wa kutosha ku-express hisia zake kwa mwenzake. Mimi mwenyewe nimepanga safari inikamuone mwenzangu ili tuzungumze face to face. Nafikiri fanya hivyo kaka, i hope utayamaliza.
 
Sifa kuu ya mwanamke ni kutunza siri za ndani, in so doing anakua anamtunzia mwenzie heshima yake, ur really a lucky man kupata binti wa namna hiyo, trust me kama huyo binti angekua "mbwabwaji", nakuwaambia hao "rafiki" zenu...OOOhh yes bado tunaugomvi...Oooh ndio tumeachana...hw wud it help? This is not the best way to read someone's mind, madhara yake ni makubwa sana..yaani mi huwa sikubaliani KABISA na ishu za kuexpose shida/ugomvi wa mapenzi yetu,

Halafu, ngoja nikwambie, mshichana akishakuchoka, akaamua ku-end ur relationship hata huwa hasubiri mpaka kukuche, yani ni fasta, tena na watu wote atawafahamisha, I mean nothing to lose afterall, right? ila ukiona anakutunzia siri na anawaambia watu we still together, then ur still together. Tatizo wewe unaharaka ndugu yangu...sis hatujui ulimjeruhi kiasi gani, bt she is trying to heal, and healing takes time, and you need to support her...sio kuanza eti kumpiga biti..mmhhh ni kama kujaribu kumsukuma kidogo tu mtu aliye simama katika edge juu ghorofani, what d u expect? atasema..aaahhh, kumbe he isnt even worth it, najaribu kuona kama kabadilika na kajifunza kumbe yeye anajiona ndo yeye, ok fine..AM DONE, sasa nani atafaidika hapo? u ll both lose, d u want it that way?

Just tell her sh is stuck with you, ur not going anywhere and ur here to stay, but dnt pressure her for ur own selfish advantage... maana wewe unajitahidi kukifunikafunika kidonda wakati bado kibichi..yeye kwa mawazo yake anataka kikauke...so be patient (patience is a virtue).

Yani kwenye hii ishu ur the key player, uamuzi utakaochukua will hugely matter..and will decide ur fate.

Nakutania mawazo mema yenye uvumilivu, afterall, we humans were designed to solve problems, yes you can,
 
Dont give up the fight as long as you know for sure that you caused all the problem,mpe muda atulie mbembeleze ww mwenyew na akikuwekea ngumu potea kidogo kama wiki mbili hivi (test kama hakumind tena) alafu mtafute akikutolea nje tena basi shukuru mungu ujue si wako huyo labda ameshapata wa kukureplace ,kusameheana ni muhimu katika mahusiano sio tena kwa kuwa ulikosa ndio umuombe mbaka udhalilike utafikiri yy hajawahi kukosa .ial akikusamehe ujifunze usirudie kosa

Zingatia ushauri huo hapo Wa Husninyo...Soma mara 2.
 
Husninyo hapo kwenye bold umenifurahisha!!
 
Usirudie kuwaambia watu kuwa mmekosana, wanawake hawataki mambo yao kuwa open kwenye public. Jikaze kama wiki bila mawasiliano halafu mpe wivu.
 
Acha matangazo kwa ndugu na jamaa.............jenga uwezo wa kumaliza matatizo yako na umpendaye.............wewe na yeye ndio mnaojua

chanzo...................

Kama unaomba msamaha............matendo yako na sura yako viongee unayoyatamka kwake!.........................
Usianze kumpa lawama za kuwa mbona hatoi msamaha haraka.....................kumbuka umemuumiza..........mpe muda wa kusahau machungu..............akisharudi kwenye neutral state......................ataweza kuanza kureason kwa kina..............................

Endelea kuwasiliana naye kama kawaida.........................si lazima sex............................endelea kumbembeleza ila usifululize ...........
unaweka pose........kama siku 4/5.......................unakumbushia tena..........tumia maneno machache yatakayomuingia na usirudie rudie...................neno nakupenda/i love you kila mara.................

Kama unaishi kwako.............kwa kipindi hiki kuwa mtulivu nyumbani kwako...........epuka safari ambazo zinaweza kumfanya akadhani umeanza mahusiano mengine..................au unaendelea na huyo mwingine(kama ndio chanzo)...............usipofanya hivyo utampoteza kabisa.

Kama kweli unampenda basi hayo hayatakuwa na kazi kwako.

onyesha ni kwa kiasi gani yeye bado ni mtu muhimu sana kwako...................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…