Mwasapile
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 214
- 448
Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa.
Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa.
Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo ninaochezewa hapa kweli!?