Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Hizi imani haba zinawasumbua watu sana. Sasa na umaskini wote huu unarogwa ili iweje?Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa.
Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa.
Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo ninaochezewa hapa kweli!?