Simuelewi mke wangu: Anaweka nywele zake kwenye pochi anayohifadhia pesa

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
214
Reaction score
448
Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa.

Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa.

Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo ninaochezewa hapa kweli!?
 
Wewe itakuwa una hofu ya kurogwa
 
Ndoq ina muda gani ?
Zamani alikua anafanyaje ?
Haya uliyotueleza ameanza kuyafanya lini ?
 
Nipasie namba za mke wako nami nijaribu kumhoji shida nini hadi anafanya mambo yanayokukosesha Amani ya Mwili,,Nafsi na Akili!!###KamaHutojaliLakini###
 
Majibu yake atakuwa anayo nabii flani hiv
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda ndio zinamuingizia kipato Sasa kama ww huwajibiki afanyaje [emoji3]NDOA zina mengi jmn!!
 
Kula bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…