Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Hizi imani haba zinawasumbua watu sana. Sasa na umaskini wote huu unarogwa ili iweje?Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa.
Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa.
Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo ninaochezewa hapa kweli!?
Ndoq ina muda gani ?
Zamani alikua anafanyaje ?
Haya uliyotueleza ameanza kuyafanya lini ?
Yaani hata nimkute anapika akiwa uchi, nakula chakula na namla na mpishi pia.[emoji41]Kwahyo ukakuta mkeo anaweka nazi kwenye kabati la nguo hutoquestion!? Hautashtuka!?
Kwa tukio hilo lako sio kubwa kiivo kama unavyolivutia taswira wewe .Ndoa ina 7yrs.
Zamani sikuwahi notice kitu kama hicho
This is the third or fourth time nakuta nywele kwenye pochi zake na anadai kuwa ni anakosa pa-kudispose
Kwa tukio hilo lako sio kubwa kiivo kama unavyolivutia taswira wewe .
Yaani mtu anahangaika na nywele zake mwenyewe alafu wewe upate hofu, kweli ?
Inshort mkeo ameanza uchafu kama sio uvivu lakini sio huko ulipomkadiria wewe.
Ndoa yako ina shida kaka, trust me.Then you have proved ur immaturity
Alioa mwanga/mchawi tu na inshort hakuanza kumloga muda huo, pengine alianza kurogwa kitambo kama ni kweli.Kuna rafiki yangu mmoja alioa kama miaka mitano ivi imepita. Jamaa baada ya kuoa akaanza kuchapika kuja kushtuka ni mke ndio anamloga.
Hawa viumbe usipokuwa makini dakika mbili unaumia
Tuma namba mkuu,tukusaidie kumuuliza.Washenzi mnataka namba za mke wangu sio!