I beg to differ na mtazamo wako,...... ndio maana nasisitiza kila siku kumdhibiti mwanaume ni kazi rahisi na ndogo sana lakini ni lazima ujuwe weakness za wanaume wengi ni nini!<br />
Through my experience unaweza kukuta huyo jamaa yake alikuwa kwenye mahusiano kabla ya kuwa nae na yamemgharimu sana, sasa mtu wa namna hiyo inahitaji ufundi kumuhandle na kumsahaulisha yaliopita, pili financial status, wanaume tulio wengi kama ukiwa kwenye kipindi cha financial arassment basi hata maswala ya mapenzi hayawi priolity kwa mwanaume.<br />
<br />
Kuna kitu kingine kidogo sana wanawake mmeshindwa hata kujifunza, hivi nyinyi bado hamjajuwa kwamba wanaume tunapenda kufanyiwa scrub na wanawake? pamoja na masaji? hivi vitu ukijifunza na ukanunuwa mafuta yote yanayoitajika huoni ni moja ya njia nzuri ya kumkamata mwanaume? wale wadada wanaotufanyia scrub huwa tunawapa tip mpaka ya 10,000= wakati huduma ya kunyoa na scrub unakuwa umeshalipia pembeni, na ndio maana salon ya kiume sasa hivi bila kuwaweka wale kina dada wa scrub inakuwa haina mvuto.<br />
Sasa kazi kwenu nimewapa hiyo tip ndogo tu jifunzeni halafu muwafanyie wenza wenu muone uchawi huu wa ajabu unavyofanya kazi.