Yah huyu nae kilaza kweli...wanawake wenzake wanahangaikaga pesa ziwe mikononi mwao bila kujali wanapendanaje...yeye anaweka kwa mwanaume...lol imekula kwake tena atakapojua jamaa huko mbali aliko ana kabinti kabamtoa upweke tena kwa hela za nyumba kubwa anazowekaga.....Endelea kupenda tu na kuweka savings zako; si mumeo bwana!
Dada yetu Mautana,Account ipo kwa jina lake tu si unajua kupenda sikuona kama ni shida na isitoshe ni mume.
Account ipo kwa jina lake tu si unajua kupenda sikuona kama ni shida na isitoshe ni mume.
Kwanza pole sana sababu unaonyesha hamsikilizani vizuri na mme wako.
Pili kuna uwezekano mkubwa wewe ndo wale wanao weka pesa kwenye account, hazikai hata siku tano unataka kuzidraw.
Tatu jifunze kutunza siri zenu za nyumbani, kelele mara nyingi hazisaidiii ni akili ndo inasaidia.
Account ipo kwa jina lake tu si unajua kupenda sikuona kama ni shida na isitoshe ni mume.
Wana JF nahitaji msaada wa kimawazo kichwa kimestop kuwaza.
Nina mume wangu wa ndoa ninaye mpenda sana, na huwa naamini kuwa ananipenda zaidi shida inakuja nipo nae mbali kwa sasa ila tuliamua kufungua account itusaidie kwenye mipango yetu na nimekuwa naweka pesa huko kila mwezi cha kushangaza nikimwambia tununue kitu kwa hizo pesa ananizungusha. Pia nikimuuliza sana kuwa simuelewi anakuja juu kuwa simuamini.
Nifanyeje na sipendi malumbano inaniumaje? pesa niitafute na nisifanyie kitu cha maendeleo.
yeye anaweza kuzitoa hizo hela bila ya wewe kujua? Kama anaweza basi itakula kwako................kama hawezi bali ana kigugumizi basi mweleze ya kuwa unaanzisha mipaRngo binafsi kwa sababu wakati ni ukuta.....
Nimeandika kiswahili wewe umeona kizungu.hivi umeandika nini humu? kakuomba ushauri na tunamwambia wewe unasema aweke siri kwani tunamjua? au kasema katangazia mtaa?????
kama umeolewa na mwanamme hela ziko salama, ila kama ndo vivulana, umekwisha!