Simuelewi shemeji yangu huyu

Simuelewi shemeji yangu huyu

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Someni yaliyomsibu huyu dada....
"Mimi ni dada mwenye miaka 28,nimeolewa na nina mtoto mmoja,tunakaa nyumba ya kupanga na husband+mdogo wake wa kiume mwenye miaka 23.
Kuna siku niligundua kuwa picha zangu nyingi zimepotea,pamoja na kuuliza sikupata jibu lolote,jumamosi iliyopita niliingia bafuni kuoga baada ya yule shemeji yangu kutoka kuoga (tunashea bafu/choo) kilichonishangaza nilikuta picha zangu mbili kule bafuni sikuelewa zimefikaje na ni kati ya zile zilizopotea,nilipomuuliza hakuwa na la kujibu nikamwambia nitamwambia kaka yake,akaomba sana msamaha na kurudisha zile picha akasema hana nyingine.,leo asubuhi nimeingia chumbani kwake nikakuta kabandika picha 2 pembeni ya kitanda chake.,nishaurini nimfanyaje huyu kijana?"
 
kifupi ni kwamba shem wako anakuvutia hisia wew wakati anapiga punyeto bafun, jaribu kuongea nae aache hiyo tabia na ikiwezekana atafute demu
 
pole . . . . .
Adolescence inamalizikia so anakuvutia kasi
 
Ni bora amwambie mumewe mapema, hao mashemeji na mawifi huwaga vigeugeu kama kinyonga. Mwisho wa yote atakuja singiziwa kuwa yeye ndo alikuwa anamtamani uyo shemeji.
 
kwani kama anazitumia kuvutia hisia, ina-kuaffect in any way? labda yuko obsessed na wewe tu au anatamani kuwa na mwanamke of your calibre
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Au unamtega na Khanga moko na min zakufamtu kijana inabidi akoki gobole.......chezea khanga moko!!au mnamtesa wewe na kakayake mkiingia 6x6 basi utadhani mko kumi chumba miguno yakufa mtu!!
 
mmmh, sidhani
kila mtu anakuwa tofauti.

Kuna wengine mabadiliko yanachelewa kuanza wengine wanawahi.

Sidhani kama naweza mlinganisha binti aliyevunjwa ungo na miaka 1r na yule aliyevunja na miaka 17.

Nadhani mabadiliko ya nje yana-reflect hata mabadiliko ya ndani/kiakili.

Kongosho hivi adolescence mwisho ni miaka mingapi, maana naona miaka 23 huyo keshavuka!
 
Last edited by a moderator:
Kwani inawezekana hajamwambia mumewe hadi sasa? Kwanini sasa?
Huwa sielewi sana linapokuja swala la kuchagua vitu vya kumwambia mumeo au mkeo, mi nadhani mkishaoana ni sharti muambiane kila kitu, tena mnakuwa marafiki tu. Ni shida sana dada anawaambia baadhi ya marafiki zake vitu fulani na anamficha mumewe tena kwa visingizio vidogo tu (Nitawagombanisha na mdogo wake bure! au anaweza asinielewe!) Huyo ni mkeo au mumeo, mwambie kila kitu kuepusha kutoaminika, maana kama kuna kitu kimetokea alafu hukusema na akaja kugundua mwenyewe unapoteza kabisa uaminifu japo si kosa lako na pia muelezee kila kitu ili kumfanya awe karibu zaidi na maisha yako!
 
Lakini akimalizia haja zake thru picture, and not reality kuna shida gani best??

Huoni kama unatakiwa ujisifie sana kwa kuweza kupendwa hadi na mdogo mtu??

Ningekua wewe ningepiga tena nyingine nzuri zaid (sio naked) nimpelekee.

Pengine hii ingemsaidia kuliko kujitumbukiza kwenye real sex na umri wake +vicheche vya siku hizi.
 
pole . . . . .
Adolescence inamalizikia so anakuvutia kasi
Kongosho! Acha uhuni, 23 sio adolescence Bana!

Huyo kinacchomsumbua ni mibangi na domo zege. Chukua tahadhari kwani iko siku atakupanda kwa nguvu. Atakugeuza PANZI, akubake

Bazazi ni Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
hivi kwa nini watu wapenda matumizi ya geisha and revola soaps kwenye kuwatoa wazungu wao! si nasikia ule mchezo unafanya dushelele linapinda mbele na kuwa kibamia???? mbona cku hizi mademu wapo very, very cheap??? jamani wadogo zangu kwenye rika la kubalehe acheni huo mchezo! mweeeee!
 
kifupi ni kwamba shem wako anakuvutia hisia wew wakati anapiga punyeto bafun, jaribu kuongea nae aache hiyo tabia na ikiwezekana atafute demu
Ili kujua nia yake siku moja jifanye unampa ofa ya kiaina mkutane sehemu akija ujue hana nia njema na wewe.
 
Ohhh anataka dudu huyo! Mkanye au msemee kwa kakake!
 
Back
Top Bottom