Huyo mwanaume anakuzingua hana nia njema na wewe, kama kweli ulionesha kumdharau angekaa na kukueleza. mm ninachokiona ni ubabaishaji tu wa huyo mwanaume. na kwanini amwambie rafiki yako hayo mambo yenu sio mstaarabu kwanza. me nakushauri angalia mambo mengine love affairs now days ni kusumbuana tu