Simuelewi

Simuelewi

sasa ulijuaje kama kafuta namba zako??anyway hapo hesabu hauna mtu vinginevyo unafuata matatizo tu
stor zote amemwambia best yangu,, ivyo ni kwel kuwa amefuta maana hata kuniacha amemwambia best yangu ula mm hajanitamkia
 
Huyo mwanaume anakuzingua hana nia njema na wewe, kama kweli ulionesha kumdharau angekaa na kukueleza. mm ninachokiona ni ubabaishaji tu wa huyo mwanaume. na kwanini amwambie rafiki yako hayo mambo yenu sio mstaarabu kwanza. me nakushauri angalia mambo mengine love affairs now days ni kusumbuana tu
 
Back
Top Bottom