Simuelewi ?

Simuelewi ?

Bigdadaa

Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
12
Reaction score
1
Wana JF...naomba mnisaidie my boy yuko mbali na ninapoishi,yupo busy sana,mawasiliano hafifu mpk nimtafute bt anashow km he loves me. Cmsumbui na v2 vngne zaidi yakumsisitizia ukaribu.cna imani km ana m2 mwingine.Nishaurini nifanye nin ?
 
Subira ni muhimu pia ondoa fikra za kuwa ana mwingne, try 2 keep in touch kwa kumtafuta kwa hewa pia hata kumtembelea mara kadha if pocble. Uhafifu wa mawasiliano ni hakna ntwk aliko au ndo ubize 2 wa kazi?
Kaza mwendo na ucteteleke kirahc hvo.
 
Hapo sijakuelewa ni ushauri upi unahitaji,coz umeshaelewa yuko bize na mbali na pia ameshakuonesha anakupenda na umeliamin hilo kuwa uko peke yako,embu weka vizuri ni ushauri wa kipengere kipi unaohitaji!
 
Hujiamini,tofauti na hilo humuamini mpenzio halafu una kigeugeu,iweje uombe ushauri wakati umesema huamini kama ana mtu?
 
duh! sasa hapo shoga wataka nn tena akama ushasema wajua anakupenda na umeelewa kua ni ubiz wamafanya akue ivo so kitulize tu
 
Hujiamini,tofauti na hilo humuamini mpenzio halafu una kigeugeu,iweje uombe ushauri wakati umesema huamini kama ana mtu?
Women...they can talk to their pets if they miss someone to talk to.
 
Huyu 'boy' kwakuwa wewe ni mama yake lazima anakupenda,mawasiliano ni hafifu kwakuwa yuko mbali/bize,hilo la kutokuwa na mtu sijalielewa si lazima mtoto wako atahitaji kuwa na mtu wajameni ?
 
Back
Top Bottom