Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu.

Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
 
Kwani shida iko wapi hapo?
 
Hiyo kawaida sana, tena huyo mwanamke mbinafsi sana angetakiwa waangalie na mumewe.
 
Acha ushamba basi...huko ndo kila mtu anajifunzia huo unaita uchafu..au ww mapenz umezaliwa unayajua [emoji1787]
 
mkuu naona unakiswahili kizuri ila uwasilishaji wa ujumbe ni F. ebu jaribu kuongeza moto nyama ilainike walau kibogoyo aweze mumunya.
 
Achana na picha za ngono, hiyo inaweza kua kawaida coz pia wanaume wengi wanaangalia.

Ishu ni kua hizo groups wanafundishana malimbwata na madawa ya hovyo yanayowaaribu wao wenyewe, kuna na hao makungwi wao wanawadanganya kinoma.
 
Juzi kati tulikuwa kwenye msiba wamama wa mtaani ndo walikuw wanapika ...kazi yao kubwa ilikuwa ndo hiyo sababu ilikuwa inaonyesha dhairi shairi na pia kuna mwanamke alinidokeza hivyo mwisho wa siku tukala ubwabwa mbichi
 
Back
Top Bottom